VIP BOOSTER EXTRA

Directions

  1. 1Weka ndizi, muhogo, pistachio, wallnuts, karanga, korosho, almond, tangawizi, mbegu za maboga, clove na chia seed kwenye blender.
  2. 2Ongeza dafu kwenye blender.
  3. 3Ongeza tende kwenye blender.
  4. 4Ongeza maziwa fresh kwenye blender.
  5. 5Ongeza barafu kwenye blender.
  6. 6Blendi mchanganyiko hadi upate smoothie laini.
  7. 7Mimina smoothie kwenye glasi.

Ingredients

  • Ndizi mbivu
  • Muhogo
  • Pistachio
  • Wallnuts
  • Karanga
  • Korosho
  • Almond
  • Mbegu za maboga
  • Tangawizi
  • Clove
  • Chia seed
  • Dafu
  • Tende
  • Maziwa fresh
  • Ice

Equipment

BlenderMeasuring cupGlass

Tips

  • Kutumia mchanganyiko wa vitu sahihi kwa kiasi sahihi huongeza ufanisi wa tendo la ndoa.
  • Smoothie hii inasaidia kuongeza wingi wa manii na kuzifanya ziwe nzito, na inafaa hata kwa kutungisha ujauzito.
  • Inasaidia kwa wamama wajawazito kuongeza wingi wa maziwa kwa ajili ya mtoto.